🌿 *MZABAR HERBAL CLINIC*
*Siri ya Kusawazisha Homoni na Kuondoa Msongo wa Mawazo*
⚠️ *Je unajisikia hivi mara kwa mara?*
* Uchovu usioisha hata ukilala 😴
* Wasiwasi na mawazo mengi 🤯
* Kukosa usingizi au kuamka usiku
* Mapigo ya moyo kwenda kasi
* Uzito kuongezeka hasa tumboni
👉 Hizi ni *dalili za homoni za msongo (Adrenal & Cortisol) kutokuwa sawa*
🔥 *Tatizo Linatoka Wapi?*
Mwili wako una tezi zinaitwa *Adrenal glands*
Hizi ndizo huzalisha homoni muhimu kama:
* *Adrenaline* (ya kupambana na hatari)
* *Cortisol* (ya kudhibiti msongo)
👉 Zikizidi au kupungua, mwili unaingia kwenye matatizo makubwa ya afya!
❌ *Madhara ya Homoni Kutokaa Sawa*
* Msongo wa mawazo wa kudumu
* Presha kupanda au kushuka
* Kukosa usingizi
* Kinga ya mwili kushuka
* Kushindwa kupata ujauzito kwa urahisi
🌿 *Suluhisho la Asili kutoka MZABAR HERBAL CLINIC*
Tunatumia njia za asili kurejesha uwiano wa mwili wako
✅ 1. Mimea Tiba (Adaptogens)
Husaidia mwili
* Kupunguza stress
* Kusawazisha homoni
* Kuongeza nguvu ya mwili
✅ 2. Lishe Sahihi
* Protini ya kutosha
* Vyakula vyenye nyuzinyuzi
* Kula kila baada ya saa 3–4
✅ 3. Virutubisho Muhimu
* Magnesium (hutuliza mwili)
* Vitamin C & B5 (huimarisha tezi za adrenal)
✅ 4. Usingizi Bora
* Lala mapema
* Epuka mwanga mkali usiku
* Mwili unahitaji kupumzika ili kujirekebisha
💡 *Ukweli Muhimu*
👉 Stress usipotibiwa mapema
* Huathiri homoni za uzazi
* Huchelewesha kushika mimba
* Huleta uchovu wa kudumu
🎯 *Huduma Zetu MZABAR HERBAL CLINIC*
✔️ Tiba ya asili ya kusawazisha homoni
✔️ Program maalum ya siku 90 kwa wanaotaka kushika mimba
✔️ Ushauri wa lishe na afya ya uzazi
✔️ Dawa za asili zilizo salama na zenye matokeo
📲 *Chukua Hatua Sasa!*
Usiache hali iwe mbaya zaidi…
👉 Wasiliana nasi leo
👉 Pata ushauri wa bure
👉 Anza safari ya kupona kwa njia ya asili
🌿 *MZABAR HERBAL CLINIC*
*Afya Yako, Kipaumbele Chetu*
