🌸 *MAMBO YANAYOWEZA KUCHANGIA KUCHELEWA KUPATA UJAUZITO*

Ikiwa umekuwa ukijaribu kupata ujauzito bila mafanikio, huenda sababu ikawa mojawapo ya hizi

✔️ PID (Maambukizi kwenye via vya uzazi)
✔️ Kutokuwa na uwiano wa homoni (Hormonal imbalance)
✔️ Mirija ya uzazi kuziba (Blocked fallopian tubes)
✔️ PCOS
✔️ Vivimbe kwenye mfuko wa uzazi (Fibroids/Myoma)
✔️ Cysts kwenye ovari
✔️ Endometriosis
✔️ Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
✔️ Fangasi sugu sehemu za siri
✔️ Msongo wa mawazo (Stress)

⚠️ Kumbuka: Kuchelewa kupata ujauzito kunaweza kusababishwa na sababu moja au mchanganyiko wa sababu kadhaa. Hatua ya kwanza ni kufahamu chanzo halisi ili kupata ushauri au matibabu yanayofaa.

💬 *Je, wewe unadhani ni changamoto gani imekuwa ikikuzuia kupata ujauzito?*

Andika kwenye maoni au nitumie ujumbe binafsi. Kupitia namba *0684 362 870*
Tupo tayari kukusikiliza na kukuelekeza.

#AfyaYaUzazi #Uzazi #KushikaUjauzito #Wanawake #Fertility #MzabarHerbalClinic