_*Maswali 10 ya Kujiuliza Kama unania ya Kupata Ujauzito*_ Ikiwezekana nione inbox
1. Je, ninafahamu vizuri mzunguko wangu wa hedhi na siku zangu za hatari?
2. Je, ninapata hedhi kwa mpangilio wa kawaida au mara nyingi inachelewa/kutangulia?
3. Je, ninafuatilia siku yangu ya ovulation (kutolewa kwa yai)?
4. Je, mimi na mwenza wangu tunafanya tendo la ndoa mara kwa mara katika siku za uwezekano mkubwa wa kupata ujauzito?
5. Je, nimewahi kufanyiwa vipimo vya afya ya uzazi ili kujua kama kuna tatizo linaloweza kuzuia ujauzito?
6. Je, nimewahi kupata maambukizi kama PID, UTI au magonjwa ya zinaa ambayo yanaweza kuathiri mfumo wangu wa uzazi?
7. Je, nina dalili zozote kama maumivu makali ya tumbo, hedhi zisizo za kawaida au maumivu wakati wa tendo la ndoa?
8. Je, ninazingatia lishe bora, usingizi wa kutosha, uzito unaofaa na mtindo mzuri wa maisha?
9. Je, mwenza wangu amewahi kufanyiwa uchunguzi wa afya ya uzazi na mbegu za kiume (semen analysis)?
10. Nimekuwa nikitafuta ujauzito kwa muda gani, na je, ni wakati gani sahihi wa kwenda hospitali kwa uchunguzi wa kina?
_Kwa Maelekezo na Ushauri tupigie kwa kutumia namba *0684 362 870* Dr.Mzamilu Baraka_
